Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

 
Mbona ndefu nitakuja kumalizia badae kusoma
 
no 30 nipo na wewe
 
Dooh so sad....mdomo ni kitu mbaya sanaaa kikitumika vibaya.

Kuna mwenzako huku aliambiwa hana pumzi.

Waliambiana wenyewe chumbani jamaa kikamuuma sana kesho hatuna hili wala lile tunashangaa jamaa anataka kumla mke wake barazani tukishuhudia ....kumbe alienda kunywa pombe Kwa hasira akataka ampige kazi mbele za sie wapangaji wengine......

Maneno .....maneno .....kwenye ndoa kumtamkia mwenza wako mineno ya kumuumiza sio nzuri kabisa. Kuna maneno ya kuudhi, kukasirisha, kuchukiza na ya kuumiza ....Bora yate .....sio ya kuumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…