Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, "wanawake wanaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia
zao ".
Alafu Sikuhizi Wanawake wa Kuoa ni adimu kama bikira uswahilini, ila Mijanamke wasiwasi iko kila mahali kama Kashata kirumba. Watch out, si kila king'aacho ni dhahabu, ukikosea ukaganda you will be the talk of the town...Epuka kuganda pasiporuhusiwa.Be wise,Choose wisely!