Hawa ndio Wapinzani wanaoweza kui-challenge CCM mwaka 2025

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu ndugu zangu,

Ndugu zanguni kama ilivyo ada mgombea wa chama nilichokitaja hapo juu ameshafahamika. Sasa hawa ni baadhi wa wapinzani ambao ikitokea wakachaguliwa na vyama vyao kuviwakilisha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, basi wanaweza kum challenge japo sio kumshinda mgombea huyo mwenye ushawishi mkubwa, mwenye maono, mwenye uthubutu wa kuleta maendeleo kwa watu na vitu, mwenye huruma na mwenye kujali wananchi wake.

Sasa ni vizuri wapinzani katika vyama vyao wakawachagua hawa kuwawakilisha ili angalau tupate wabunge kutoka vyama mbali mbali vya upinzani. Kwa upande wa Chadema nashauri wamuandae pro Jay au Salum Mwalimu hawa hawana scandal za kijinga jinga afu ni watu wanaoheshimika sana katika jamii zao, kwahiyo wakipitishwa itakuwa rahisi mno wananchi kuwaelewa na kuwapa kura zao.

Kwa upande wa ACT wamsimamishe Zitto, huyu jamaa ana elimu nzuri afu ni mtu anaeijua siasa vizuri, nina imani akichaguliwa na chama chake anaweza kutumia uzoefu wake kushinda viti vingi vya uchaguzi. Mzee wa ubwabwa atapata kura nyingi sana mikoa ya Pwani maana ndio walimaji wakubwa wa mpunga. Wengine mnaweza kujazia wenyewe. Karibuni!
 
Lissu tena mpk majizi ya Taifa hili mkome mwendazake hatosahau mpk huko kaburini kitu mnyaturu alimfanya na Hana mabango, Hana wasanii NK lakini alimshikisha adabu mwendazake sasa uchaguzi ujao leteni huyo mama hangaya na pale CCM sjaona WA kushindana na lissu aisee.
Kuhusu zitto huyu jamaa ni ndumilakuwili Hana jipya kwasasa.
 
Yaani kero zenu kuu hazijapata ufumbuzi ili angalau muweze kuwapima tayari mnawaza uchaguzi wa 2025? Mtakuwa mmelogwa aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…