Zitto kbwe ndo unamuona yuko vizuri! Mdini na najifanya anajua kila kitu kwa kifupi huyo hawezi kazi yake uchumia tumbo ndo maana Magufuli alimpotezea ikawa mara mshamba mara dikteta wakati yeye katokea maporini huko!
Hakuna challenge yeyote kutoka upinzani, waliopo upinzani wengi ni Vimeo! Hangaya anaweza kupata challenge ndogo Sana kutoka ndani ya CCM na sio nje ya CCM.