Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

Mkuu mimi nakuomba uisome vizuri hiyo habari,maana naona wengi hawajaisoma ila wamekimbilia kukomenti tu. NDANI YA HIYO HABARI INAWATAJA WASANII WATANO (5) WALIOINGIZA PESA NYINGI KWA MWAKA HUU 2016,SIO KWAMBA HAO NDIO MATAJIRI KWASASA,LAKINI PIA WAPO WALIOMATAJIRI NA MWAKA HUU WAKAINGIZA PESA NDEFU PIA.
 
Unajitekenya alafu unacheka mwenyewe.

Msukule wa Madale ahaaa ahaaaa
Hebu kaisometena hii habari,imeandikwa kuwa hao ni WASANII WATANO WA AFRICA WALIOINGIZA PESA NYINGI MWAKA HUU WA 2016,SIO KWAMBA HAO NDIO MATAJIRI KULIKO WASANII WOTE WA AFRICA,JAPO WAPO WALIOMATAJIRI NA WAKAENDELEA KUPIGA PESA,KWA MAANA HIYO HATA DARASA KAMA ANGEKUWA AMETENGENEZA PESA NYINGI MWAKA HUU,BASI NAE ANGEKUWEPO KWENYE HII LISTI.
 
Umetumia kigezo gani kuamini kuwa hiyo yako ni y kweli alafu iliyo kwny bandiko ni ya uongo
Umetumia kigezo gani kuamini kuwa hiyo yako ni y kweli alafu iliyo kwny bandiko ni ya uongo
nimesoma uzi upya, baada ya mdau mmoja kuweka sawa. Kuwa ni kuhusu wasanii waliongiza cash zaidi kwa mwaka huu. Hilo sina tatizo nalo, ile ingekuwa ni orodha ya wasanii matajiri Afrika ingekuwa na utata kidogo.
Shukrani kwa changamoto...
 
Duuuuuhh!! Mkuu kama hicho ndicho anachomaanisha basi ndio amekose kabisaaaaaa kwa 100%..

Yani psquare wameingiza Bilioni 230 mwaka huu????? Yani mwaka huu pekee wameingiza bilioni 230 [emoji23] [emoji23] C'mon man you cant be serious... Hata Beyonce, Jay Z, Drake, Nick, hawajaingiza kiasi hicho cha hela mwaka huu..

Akothee ameingiza bilioni 132 mwaka huu?? Hapana hapana hapana..

Diamond nina uhakika na nafahamu ninachoongea, hajaingiza bilioni 9 mwaka huu.. Ila net worth yake (kama utajumlisha na majumba yake) inakaribia hapo..

Ni bora tu mwandishi aseme hizo alizoandika ni net worth ila akisema ati ni income kwa mwaka huu 2016, duuuhh huo ni ulongo wa kindergarten!!
 
Hebu waombe MODS wakubadilishie CAPTION,kisomeke kuwa HAWA NDIO WASANII WATANO WALIOINGIZA PESA NDEFU MWAKA 2016.
 
Donjazzy, yemi alade, 2face, mafikizolo, Jose chameleon, nk inamaana hawajafka kwe bil9 jmn?
 
nimesoma uzi upya, baada ya mdau mmoja kuweka sawa. Kuwa ni kuhusu wasanii waliongiza cash zaidi kwa mwaka huu. Hilo sina tatizo nalo, ile ingekuwa ni orodha ya wasanii matajiri Afrika ingekuwa na utata kidogo.
Shukrani kwa changamoto...

 
Mkuu mbona mimi nakuamini sana kwenye kudadavua mambo kwa weledi, HAWA JAMAA WA HUU MTANDAO WALICHOKIFANYA NI KUWEKA LISTI TU,KWA MWAKA HUU HUYU NDIO WA KWANZA,2,3,4 NA 5, LAKINI HAWAJAFAFANUA KAMA MWAKA HUU AMEINGIZA/WAMEINGIZA SH'NGAPI( utaliona hilo kama utaisoma kwa kuelewa). Kwahiyo kama ni hoja ianzie hapo kuwa kwanini hawakuweka kiwango, au kama hii listi ni sahihi au si sahihi.
 
Mtoa mada nina wasiwasi na upeo wako kuhusu mambo ya fedha,inawezekana bilioni hauijui inafana na nini,ngoja nikuelimishe,Bilioni moja ni sawa na milioni elfu 1.

Sasa unavyotulisha chaka kwamba Diamond ana utajiri wa Bilioni 9 labda ni Za Zimbabwe.NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI KWAMBA DIAMOND ANA UTAJIRI WA BILIONI 9,Hata Ukijumlisha utajiri wao wote wasafi including Zari, Babu Tale,Sallam,Mkubwa Fela,Ruge haufiki bilioni 9.
 
Jamani tujifunze KUSOMA KWA KUELEWA,SIO KUFUATA MKUMBO KWAMBA UMEONA FULANI KAKOMENTI HIVI NAWE UNAJICHOMEKA TU. Hii mada inazungumzia wasanii waliotengeneza pesa ndefu mwaka huu,sio kwamba hao ndio matajirikuliko wote,ila wamesahau tu kutuwekea kiasi walichoingiza kwa huu mwaka.
 
Hapo nimekuekewa Mkuu..

Tukiondoa hizo figures ambazo zimekosewa, tukazungumzia tu wasanini walioingiza mkwanja mrefu mwaka huu.. Hapo nakubaliana naye kwa 85%..

Tena Chibu anaingia kwenye Top 3, sio namba 5.. (Tukiongela wasanii waliovuta mpunga mrefu kwa mwaka huu pekee)
Ingawa hizo figure inabidi azirekebishe kama anaongelea mwaka huu pekee..
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
ndio maana nilisema, sio kila site google iko na reliable info. Nyingine ziko kishabiki, makundi na mwandishi yuko upande gani. Ukiangalia utajiri wa msanii mmoja mmoja ndo utapata data sahihi.
 
Nimekupata vyema mkuu... Yule komando aliyegongwa nyundo ya 5kg kichwani alinipoteza maboya πŸ™‚πŸ™‚
 
Mimi niliikuta kwa millardayo.com jinsi watu yalivyokuwa yanawatoka mapovu,nikaichunguza nikagundua habari yenyewe haikukaa vizuri kuanzia KICHWA CHA HABARI HADI MLOLONGO WA NDANI NA VILE NDIO HAWAKUWEKA KIWANGO NDIO KABISA. Na nimejaribu kuangalia hiyo website yao sijaiona hii habari au sijui nimekosea kusachi sijajua.
 
Unajiona ulivo boya ushabiki umekujaa adi mku...... iv unajua thamani ya kituo cha clouds FM au unaropokwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…