Yupo Vizuri Sana Kisu.Shabani kisu
Shaaban KisuYule wa TAFAKURI BAADA YA HABARI TBC, kuntu sana yule jamaa
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
kuna jamaa tbc taifa huwaga ana section ya tafakuri baada ya habari,havutii halaf hajui kama havutii,huwaga nazma akianza kubwabwaja ili nisubir wosia wa baba (nyerere),yaani jamaa sauti haivutii halaf anasifia had kero,anajua kujitoa ufaham hujawah onaNimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii
3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye sports extra.
2. Ananias Edgar Makaza zake nyingi nazipataga youtube nimemjulia huko.
1. Mtiga Abdala. Huyu nimemjua kwenye the story book ya wasafi fm.
Hata makala iwe mbovu usomaji wao tu utaipenda.
Nawakublia sana hebu ongeza mwingine unaemjua nimtafute
Veronica FrankYule anayesoma ripoti ya leo kipindi kipo efm mdada saa kumi na mbili jioni, anaitwa nani?