Umesahau, wamefungwa na KMC.Kariobangi ni timu inayokuja juu hapa afrika mashariki ambapo mapema mwaka huu imetoka sare na Everton na hivi karibuni imetoka sare na YANGA AFRIKA wako vizuri karriobangeView attachment 1174564
AISEEEHHao ni vibonde wa KMC.
Hao mbona vibonde tu had KMC amejipigia
Teh teh vitambi fc hamkosi sababuSiku 1 baada ya mechi matata na Yanga. Kesho yake KMC.
Uchovu, nk.
Sijawahi sikia Vyura wanakosa sababu kwa kila kitu mala hivi male vile yan nivirugu tuSiku 1 baada ya mechi matata na Yanga. Kesho yake KMC.
Uchovu, nk.
Mpira unachezwa asubuhi hayo ni mazoezi au mechi??Klabu ya KMC imeibuka na ushinda wa mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kariobangi Sharks ya Kenya mchezo ambao umefanyika Jumanne ya Agosti 6, 2019 asubuhi katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mabao ya KMC yamefungwa na Serge Nigues dakika ya 21′ na Vitalis Mayanga dakika 82′ huku la bao Kariobangi Sharks likifungwa na Julius Masaba dakika ya 23′.
Ni kanuni zipi za mpira zinazotabainisha asubuhi ni mazoezi na sio mechi.Mpira unachezwa asubuhi hayo ni mazoezi au mechi??
Kariobangi ni timu inayokuja juu hapa afrika mashariki ambapo mapema mwaka huu imetoka sare na Everton na hivi karibuni imetoka sare na YANGA AFRIKA wako vizuri karriobangeView attachment 1174564
Sijawahi sikia Vyura wanakosa sababu kwa kila kitu mala hivi male vile yan nivirugu tu