Hawa ndiyo maadui wa CCM na 'taifa' la wachumia tumbo

Hawa ndiyo maadui wa CCM na 'taifa' la wachumia tumbo

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Kwa CCM:

Kila mwenye uwezo wa kuongea ni tishio kwao.

Kila anayejitambua ni tishio kwao.

Kila anayekosoa ni adui kwao.
Kila anayekataa uchawa ni tishio kwao.

Kila anayeshuku ni adui kwao.

Kila anayefikiri ni adui kwao.

Kila aliye safi ni adui kwao.

Kila aliye na akili timamu ni adui kwao.

Kila mwenye msimamo ni tishio kwao.

Kila asiyeshirikiana nao ni tishio kwao.

Kila mwenye kutaka haki ni adui kwao.

Kila anayeweza kuvunja chawa ni adui wao.

Kila mwenye maono ni adui kwao.

Kila mwenye kuona future ni adui wao.
 
Back
Top Bottom