Kwa hiyo ronaldo aliposhinda zile tuzo mess alikuwa anacheza criket?Maybe Pep Guardiola coaches basketball team..!
Arsenal wapambane na hali yao.Wenger ndo anahitajika kuondoka haraka kuliko Mournho
Yule wa AS Monaco anaweza kuendana na falsafa ya OT tuliyoizoea.Giggs atumike kusimama nae pamoja ili baadae aendelee mwenyewe.story za mwanaspot bana hapo hamna hata kocha mmoja mwenye cv ya kuifundisha manchester united ZAIDI YA MOURINHO mwenyewe ni bora apewe giggs tu kabeba mataj yote ngazi ya club na anaujua utamaduni wa manchester united.
Moyes aliteuliwa na Sir AF.Lakini karata ilipotea kwa kuwa aliprove failure.Moyes alipopewa alikuwa na cv ipi
Kuwa mstaarabuSi wamchukue marehemu siang'a?
Zidane wa nini sasa wakati wahenga wa Old Trafford wapo wengi akinaWamchukue Zizzou!
huyo wa monaco akipewa timu akifungwa mechi tatu mfululizo mtaanza kumtukana hukuYule wa AS Monaco anaweza kuendana na falsafa ya OT tuliyoizoea.Giggs atumike kusimama nae pamoja ili baadae aendelee mwenyewe.