Hawa ndiyo mastaa wanaopenda kukaa nusu utupu

Chaputa wataifanyia kazi thread yako..wanatanguliza shukran
 
Mwandishi wa post kuthamini mwili maanake Nn?..fafanua mkuu.. Sio kwamba hawa wamejua thamani ya Mili Yao ndio maana hutumia kuendesha maisha, Umewai ona mwenye mwili wa ovyo anafanya hayo..they know the value of their body, then they use the opportunity 😁.. Anyway... Nimejikuta nafikiria ujinga kwa sauti😀😂
 
Utakuta wew ni baba na mme wa mtuu .. dah bongo watu we nye akili adimu sana .
 


Hivi hao mastaa au ni machangu? Wana ustaa gani hapa nchini, ebu tufafanulie kidogo....wana ushawishi ama mchango wowote katika jamii? Wacheni kuwapa watu sifa wasizostahili.
 
kwaiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…