Hawa ndiyo vinara wa upachikaji wa mabao kombe la shirikisho Africa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
(1) Fistoni kalala mayele
Anachezea club ya Young African sc iliyopo nchi ya Tanzania, mpaka Sasa amefunga jumla magoli sita (6)

(2)Ranga chivaviro
Anachezea club ya Malumo gallants ya south africa, mpaka Sasa amefunga jumla magoli sita (6)

(3)Paul acquah
Anachezea timu ya Rivers United iliyopo Nigeria, mpaka Sasa ana jumla ya magoli manne (4)

Screenshot_20230424-230122.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
(1) fistoni kalala mayele
Anachezea club ya Young African sc iliyopo nchi ya Tanzania, mpaka Sasa amefunga jumla magoli matano (5)

(2)Ranga chivaviro
Anachezea club ya Malumo gallants ya south africa, mpaka Sasa amefunga jumla magoli matano (5)

(3)Paul acquah
Anachezea timu ya Rivers United iliyopo Nigeria, mpaka Sasa ana jumla ya magoli manne (4)

View attachment 2598784

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nadhani tumeshamaliza ubishi wa George Mpole kwamba Mayele alifanyiwa roho mbaya tu msimu uliopita kupata kiatu cha dhahabu.

Mpaka sasa amethibisha kwenye ligi anaongoza na CAF yuko juu, kuna maswali tena?

Wapi George Mpole? Wako wapi wale waandishi wetu wa michezo uchwara waliomchangia pesa George Mpole?

Mafuta na maji vimeshajitenga vyenyewe.
 
Kweli kabisa mkuu.

Siasa za soka.
 
Eti figisu, inawezekana hakuna uhalisia wa ubongo na akili za binaadamu kwa vile mbuzi ubongo nae anao.Tutafute tafsiri halisi ya ubongo.
 
Back
Top Bottom