NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Roho inakuumaKumbe Kombe la vibonde !!!!!
Akipiga goli mbili kwa mkapa basi atakua katoboa.Kijana pengine akatwaa tuzo yake kirahisi kabisaa.
Wwe umelichukua Mara ngapiKumbe Kombe la vibonde !!!!!
Wakishangaa anabeba nbcpl na huko cafKijana pengine akatwaa tuzo yake kirahisi kabisaa.
Nadhani tumeshamaliza ubishi wa George Mpole kwamba Mayele alifanyiwa roho mbaya tu msimu uliopita kupata kiatu cha dhahabu.(1) fistoni kalala mayele
Anachezea club ya Young African sc iliyopo nchi ya Tanzania, mpaka Sasa amefunga jumla magoli matano (5)
(2)Ranga chivaviro
Anachezea club ya Malumo gallants ya south africa, mpaka Sasa amefunga jumla magoli matano (5)
(3)Paul acquah
Anachezea timu ya Rivers United iliyopo Nigeria, mpaka Sasa ana jumla ya magoli manne (4)
View attachment 2598784
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu.Nadhani tumeshamaliza ubishi wa George Mpole kwamba Mayele alifanyiwa roho mbaya tu msimu uliopita kupata kiatu cha dhahabu.
Mpaka sasa amethibisha kwenye ligi anaongoza na CAF yuko juu, kuna maswali tena?
Wapi George Mpole? Wako wapi wale waandishi wetu wa michezo uchwara waliomchangia pesa George Mpole?
Mafuta na maji vimeshajitenga vyenyewe.
Akikujibu niite .....niko palee
[emoji23]... kweli Mungu ni wa wote. Walimletea firigisi kwenye tuzo ya kibongo bongo sasa anaelekea kuchukua tuzo ya ya Shirikisho Afrika nzima.
Siasa za soka.Nadhani tumeshamaliza ubishi wa George Mpole kwamba Mayele alifanyiwa roho mbaya tu msimu uliopita kupata kiatu cha dhahabu.
Mpaka sasa amethibisha kwenye ligi anaongoza na CAF yuko juu, kuna maswali tena?
Wapi George Mpole? Wako wapi wale waandishi wetu wa michezo uchwara waliomchangia pesa George Mpole?
Mafuta na maji vimeshajitenga vyenyewe.
Hawezi kujibu hata kwa dawa.Akikujibu niite .....niko palee
Hiyo ni kombe la luzaz unakataa nini? Si tulianza wote champions league imekuwaje mko huko au umesahau mara moja hii?Roho inakuuma
Hatunaga muda mchafu na kombe la vibonde
Lakini mlishiriki na kuwanga mkawanga hadharaniHatunaga muda mchafu na kombe la vibonde