Hawa ndiyo wasanii wa Hip-hop Tanzania Kama wangeamua kutoa diss track kuhusu kaligraph Basi ingekua ni kisanga

Wote waliojaribu kujibu track ya Khali ni ushuzi mtupu, hakuna hoja hata kidogo wanashambulia personality.... WHAT A SHAME.!!

The OG kaleta challenge kuwa game yetu imesinzia hajasema kuhusu Afya zenu, nyie mnajibu kwa kumzodoa mipasho eti atapakatwa sijui asiwatishie nyama sambusa.... sijui eti asije TZ!

Hizo ndo mnaita DISS TRACKS au TRASH?

Sijaona relevant response so far.

Respect the OG.
 
Umemaliza, nimesikiliza diss yake katema Sana Fact
 
Hao eote wanaweza kufanya Diss Yrack kwa maneno.. wakati kin
 
Kati ya wote walio mjibu, Motra the Future ame mnyoosha vizuri tuu
 
Roma kiuandishi bado sana labda kidogo zamani, ana mistari mepesi sana. we msanii Gani wa hip-hop unaomba kuandikiwa nyimbo?
Kama mbele wana andikiwa sembuse uswahilini land
 
Sasa wameshindwa Nini kuingia booth kumtungia diss tracks? Au tuseme wanamuogopa
Young killer kajibu ila wengine wamepuuza tuu.
Ukitaka kujua Kuwa kaligraph ni mweupe kasikilize Ngoma ya Nikki Mbishi ft khaligraph utakuja kusema Nani kafunikwa humo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
(1) Nikki Mbishi
Huyu mwamba anaiweza Vita haswaa ujuzi wake wa kurap, kuandika na pia ni freestyler mzuri tu.
Achilia bato na uchokozi kwenye line na kuwachalenge wasanii wenzake Nikki Mbishi ni complete package Hilo halina ubishi.
Kwenye nyimbo yake ya dakika mbili anasema "kalapina Nabii Koko...//
Ukija kwenye vina ni wazi madee Cho***//
Achilia mbali uchokozi wa Nikki Mbishi lakini pia Wakazi anamjua Nikki Mbishi ni Nani ni baada ya kupitiwa na Nikki Mbishi kwenye ngoma inayoitwa "where my crown at??"
Achana na hiyo Rudi kwenye Nyimbo ya "Ney wa Mitego" humu alidisiwa msanii Ney ujuzi wa Nikki Mbishi wa kupanga bars na kurap ulimnyamazisha Ney wa mitego.

Hakika Nikk Mbishi Kama angeamua kumjibu Kaligraph Basi ingekua ni noma sana na asingerudia kutafuta kiki. πŸ“ŒπŸ”¨
 
Vijana
 
Vijana wa zamani
Vijana wa zamani tumeacha hizi mambo last time checking diss track was
Lil romeo dissin bow wow thru " u cant shine like me "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…