Hawa Ndo Mabondia 50 Bora Zaidi Katika Karne ya 21

Swala anapanda uzito akapambane na tembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni list ya boxers wa enzi za Instagram na Facebook ambapo matokeo ya mchezo hupangwa kwa pesa.
 
Ungejua maana ya pound for pound usingebisha.
Pound for pound sio flexibility ya boxer kushuka au kupanda uzito hiyo ndio point yangu,

Ni njia ambayo imewekwa na wadau wa ngumi kujua nani ni bora katika division zote (light to heavyweight) bila ya mabondia kukutana, wao wanaangalia ubora wa mabondia walio kwenye division yako na kutoa tathmimi tu

Afu kama ingekuwa kweli unajua maana yake ungesema hapa ila hujui kitu ndio maana unakimbia kimbia tu na kuandika vitu nusunusu




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubora unapimwaje ?maywether hajawahi pigwa ,mywether amempiga pac man halafu leo uniambie pac man bora ,labda fafanua bondia bora philipine au .......?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scott Adkin a.k.a YURI BOYKA yko nafasi ya ngapi?

Jamaa anatandina mkono wa kikatili Sana (ila kwenye movie)

Kizibo
 
Kabla ya kubisha au kucomment kwanza tujiulize karne ya 21 imeanza mwaka gn????mana kuna watu wanauliza Mohammed Alli hawajui kuwa alikua ktk karne ya 20 huko na wengineo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…