Hawa ndo maproducer bora TZ kwa mwka 2018 wnastahili pongezi

Write your reply...s2kizz kaua mwaka uu saana lizer na bonga kama kawaida awa ndo wmeunda hits kibao za wasafii mwaka uu hasa harmonize na lavalava
 
kwa huu mwaka producer bora zaidi ni lazer magic wa wasafi maana nyimbo zote ametoa hit,afu na s2kizy wengne ndo wanafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…