Hawa ndo vinara wa ufungaji ligi kuu Tanzania walionivutia kipekee mpaka sasa

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Hawa hapa ndo vinara wa kutupia mabao msimu huu mpaka sasa, katika ligi kuu Soka Tanzania bara. Mimi binafsi nimekunwa na watu wawili..

Wa kwanza ni Shiza Ramadhani Kichuya; Huyu jamaa ametoa assista 7 na ana magoli 6, hii nimeichukulia kuwa yeye ni mtu muungwana na anaelewa maana ya team work yaani kama hauko kwenye position nzuri ya kufunga unampa aliye kwenye position nzuri anamalizia.

John Raphael Bocco(Adebayor) huyu jamaa nimemfuatilia kwa ukaribu toka alipohamia Simba..
Kwanza alianza kwa kuwa anakosakosa magoli mengi sana ikabaki kidogo nimfananishe na Laudit Mavugo(ambaye anaweza kubaki na kipa na asifunge au Alvaro Morata wa Chelsea) lakini jinsi muda unavoenda ameonesha kujirekebisha na kuongeza uwezo wake wa kutupia magoli na mpaka sasa anamkimbiza Okwi kwa ukaribu sana.
 
Am sorry Boko!very sorry nimewahi kumtumia meseji ya kejeli Hans kuhusu Boko,hata hakunijibu

Simba wakinipigia Azam nitazirahi kwa furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…