Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Kauli mbiu yetu "Kwa sasa ni zamu yetu lazima tusonge mbele" na mimi nawaaambia kwa wahamasishaji hawa pekee tutakachosonga ni Ugali tu lakini sio kusonga mbele.
Alikuwa kwenye mfungo wa Ramadan so swaumu ilikuwa kali sanaNinachojiuliza na kelele zote zile le kibamiaz alipata wapi courage ya kusinzia.