Chelsea atashika mkia ktk kundi alilopo
Dogo unachanganya madesa.aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa hili
Bwana awe nanyi wakuu
Naseleleka nayo kama kawa kama dawa
Msinichoshe nisiwachoshe
Liverpool
Chelsea
Real Madrid
Barcelona
Juventus
Bayern munchen
Hawa ndo undedog watu wa europer
Man u
Man city
Arsenal
Psg
Kama hutaki kula ndimu
LONDON BOY
We mgonjwaChelsea atashika mkia ktk kundi alilopo
Mbona unaweweseka ? Mm nimechambua kutokana na kikosi kilivyo, na kund analokutana nalo, pinga kwa hojaHuwezi kuishiwa naye chuki maana kula 4-1 na kukosa kombe lako la Europa si tamu bali ni chungu kumeza.
pumba Manchester city anashiriki Europer ya chattle au?aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa hili
Bwana awe nanyi wakuu
Naseleleka nayo kama kawa kama dawa
Msinichoshe nisiwachoshe
Liverpool
Chelsea
Real Madrid
Barcelona
Juventus
Bayern munchen
Hawa ndo undedog watu wa europer
Man u
Man city
Arsenal
Psg
Kama hutaki kula ndimu
LONDON BOY
Hujamwelewa mleta madapumba Manchester city anashiriki Europer ya chattle au?
Bayern akipewa njia nyepesi anatoboa tofauti na PSG ambaye ana historia ya kutolewa na vilemaBayern kama psg tu labda msimu huu watafanya kitu