Jamani kuna kitu kimoja kinakera sana katika mambo haya ya kampeni- kuona vyombo vya habari vikiwa biased bila hata kuficha. Channel Ten nawauliza swali, je mmeamua kuwa makada wa CCM na kuacha kuwapa habari mbalimbali watazamaji wenu bila upendeleo?
Je, mnaangalia mbali? Hamjui ya kuwa mtapoteza watazamaji wengi sana kwa kuwa kila habari yenu inatabirika hata kabla hamjaitoa??? Nawachukia sana, na magazeti yenu yote. SITAANGALIA TENA HABARI ZENU.
Hiyo ni TV station ya mafisadi. Waliinunua kwa malengo haya ambayo sasa mnayashuhudia. Hakuna professionalism hapo. Naamini baadhi ya journalists hapo ni wazalendo wa kweli na wanachukia ushenzi n wizi wa CCM lakini hawana la kufanya. Mafisadi ni lazima wahakikishe kuwa serikali dhaifu ya CCM inaendelea kuwepo madarakani ili iendelee kuwalea wakati wanaliibia taifa letu. Maskini watanzania!
jangili rostam aziz, na wenzako hakikisheni mna kimbia nchi kabla ya october 31 au la keko hakutawatosha
Mbona ni mambo ya kawaida kabsa kwa vyomboo vya habari kuelemea upande mmoja!! Angalia MWANAHALISI, gazeti hili kila toleo limekuwa likimsakama kama si LOWASA, atakuwa Rostam au Sofia Simba. New Habari wapo sawa kabisa, lazima wamtetee bosi wao. Kwa mawazo yenu mnadhani itatokea gazeti la AN-NUR lisifiie ukristo? kuweni na mawazo chanya