Hawa ni baadhi ya WanaCHADEMA waliokamatwa ndani ya wiki moja tu na kunyimwa dhamana. Who is next?

Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
 
Wewe ni mwendawazimu.
 
mkuu unachangia uzi huu huu ?
 
Nusrat mrejee mola wako ulikuwa unajihifadhi kama Allah alivyotuamuru leo kwa ya kidunia umemsahau mola wako
 
Mna apply tactic ya kizamani sana.Kufanya makosa ili mtiwe hatiani then mkalielie njaa kwa mabeberu.
Ujinga mtupu!
 

Polisi wanafanya kazi nzuri Sana ya kuwafitinisha wananchi na serikali pia ili waichukie ccm kupitia matendo maovu wawatendeayo wapinzani.
 
Taarifa zinaonyesha kwamba mpango wa kuwarundika sero wanachadema wengi zaidi kwa siku zinazokuja umekamilika, atakayefuatia ni mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Serengeti.
Wakivunja sheria watawekwa tu ndani
 
Unaweza kutusaidia walikosa nini?
 
Wewe mwenyewe ni mhuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…