Hawa ni baadhi ya watu waliookolewa kwenye meli ya TITANIC

Hawa ni baadhi ya watu waliookolewa kwenye meli ya TITANIC

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wanajamii forum,nimeona isiwe mba tukashare baadhi ya picha za manusura RMS Titanic

Picha na 1.ROBERT HICHENS
Huyu alikuwa mmoja ya wafanyakazi wa meli ya titanic
-Ndiye aliyekuwa anaiongoza meli mpaka inagonga mwamba wa barafu
robert-hichens-crew.jpg



HENRY NOSS
Alikuwa mmoja ya wafanyakazi wa titanic
Alikuwa ni mtunza stoo mkuu wa Titanic
Alirudi southhamptons baaada ya tukio la kuzama kwa meli
henry-noss-crew.jpg

CHARLES JOHN JOUGHIN
Alikuwa mfanyakazi wa Titanic
Alikuwa MUOKAJI MIKATE mkuu na mpishi katika meli ya titanic
Inasemekana aliokolewa na kinywaji cha whiskey,kwa kuwa mara baada ya kuona hali ni tete,akajidunga na whiskey ya kutosha ili kuondoa uoga then akajitupa kwenye maji mpaka alipookolewa na RMS Capathia

charles-john-joughin-crew.jpg


BERTHA GRIGGS CHAMBERS
Alikuwa anampa kapani mume wake ambaye ndiye aliyekuwa injinia wa meli hiyo bwana Norman Campbell Chambers na wote wawili walitoka salama
bertha-griggs-chambers-class.jpg



CAROLINE LOUISE ENDRES
Huyu mwanamama alikuwa nesi
Alirudi kuendelea na kazi yake mara baada ya kunusurika
caroline-louise-endres-class.jpg

CHARLES HALLACE ROMAINE
Alikuwa mchunguzi wa mambo ya papa
Hii ilikuwa safari yake ya 7 kwenye bahari na ndio ilikuwa safari pekee ambayo ilikuwa na mikosi kwake
charles-hallace-romaine-class.jpg


AMERIA HUNT LEMORE
Alikuwa ameolewa na mwanaume mweusi mwenye aili ya africa,alikuwa anasafiri kwenda New York kufuatilia vifaa vya kitatibu kwa ajili ya pharmacy yao
amelia-hunt-lemore-class.jpg


WILLIAM JOHN MELLORS
Alikuwa ni muingereza na alijirusha kwenye maji na kuogelea kwa muda usiopungua masaa 2 kabla ya kuja kuokolewa na boti namba 8
william-john-mellors-class.jpg


MARY DAVIS
Ndiye aliyekuwa mwanamke mdogo kwa daraja la kwanza
Alikuwa anaelekea marekani kutafuta kazi
mary-davis-class.jpg


ANTHONY ABBING
Aliweza kupona kwenye ajali ya titanic
alikuwa mfua vyuma maarufu alikuwa anaishi south africa
anthony-abbing-class.jpg


EUGENE DALY
Alikuwa anasafirisha mabomba kuelekea africa ya kusini
aliweza kupona kwenye ajali baada ya kuokolewa
eugene-daly-class.jpg

KATIE GILNAGH
Ni huyo aliyekaa
Mama yake hakuamini kama amepona mpaka alipotumiwa picha hii na dada yake aliyesimama
katie-gilnagh-class.jpg


HIZI NI BAADHI TU YA PICHA NIKAONA SIO MAYA NIKASHARE NA WADAU AMBAO WAKO VERY THINKABLE
 
Ni hawa tu ndio waliopona!!?? Na wale wa kina jack na rose ndio wapi kati yao!!?? Au hao wale ni wahusika wa kusadikika!!?? But they made titanic very interesting
 
Ni hawa tu ndio waliopona!!?? Na wale wa kina jack na rose ndio wapi kati yao!!?? Au hao wale ni wahusika wa kusadikika!!?? But they made titanic very interesting
Ukiongeza na Celine Deon kwenye wimbo ukafanya vijana wengi wafahamu kuhusu Titanic pamoja na kwamba vitabu kibao viliandika kuhusu hii meli. By the way nami nilitaka kuuliza kuhusu Rose kama ni majina ya kufikirika ama la
 
masaa mawili unapiga mbizi tu na baridi ile daah
Mkuu kuna mazingira ushujaa unakuja bila kutegemea maana kuogelea masaa 2 na kukaa bila kuogelea ni sawa na kifo hivyo option nzuri ni kuogelea tu huenda miujiza ikajitokeza
 
Ukiacha Hawa watu. Hilo jina la Quinton Canossa limenikumbusha Movie moja ikiitwa ADDICTED....Mwenye jina hilo anawapelekea moto wake za watu hatari
 
Back
Top Bottom