NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hii kitendo cha refar's kujiongezea dakika hata kama walipoteza mda hii sio sahihi kabisa refa anatakiwa afungiwe huu Sasa sio mpira ni rede, Dakika 90 zimesha unaongeza 4 ni ruksa na sio zaidi ya hapo, Refa we unajiongezea kama nani?😢
Wewe kama ni Yanga au Simba vuta picha mechi ya Derby kufikia dakika 90 ni 1 - 1, refa anaongeza dakika 4 ila mechi inaenda hadi dakika 100 nje ya xtra time na timu pinzani inapata bao la ushindi. Hii kweli sawa?