Hawa ni wachawi walioajiriwa na sio machawa

Hawa ni wachawi walioajiriwa na sio machawa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ukiona watu wanaojiita Wachambuzi wa Michezo wanajaribu kuwaaminisha Watanzania kwamba Simba ni timu dhaifu simply kwa kuwa Chama anaufanya mchezo wa soka kuonekana mrahisi mno, ujue hao ni vigagula waliojificha nyuma ya mic.

Wapo watu wanaoangalia timu hizi zote na kufikia kuukubali uwezo wa Simba na wachezaji wake ambao wamepangwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF. Inawezekanaje mtu anatokea huko alikotoka kashiba magimbi anakwambia Simba hii ni dhaifu sana?

Hayo ni maneno ya kutaka kuua ari ya wachezaji na kuwaandaa kisaikolojia kucheza kwa hofu isiyokuwepo wakidhani wao ni wadogo.

Utopolo mnaongoza kwa kampeni chafu, lakini Simba ni Simba nguvu moja.
 
Ukiona watu wanaojiita wachambuzi wa michezo wanajaribu kuwaaminisha watanzania kwamba Simba ni timu dhaifu simply kwa kuwa Chama anaufanya mchezo...

Akili huna.

FB_IMG_1679422066078.jpg
 
Back
Top Bottom