Hawa ni wananchi wenzetu wakipambania maisha!

Naweza mkubalia kwa upande fulani, nili enda tanga handeni Kuna kijiji maji ni mekundu kudadadeki.

mtoto hajui yebo ni nini, Kuna mpaka zile biscuit za zamani za vinailoni.

I swear uki zaliwa na una uhakika wa milo 3 hiyo ni zaidi ya blessing
Tanzania kubwa...
 
Huwezi ukaamini lakini huu ndiyo ukweli, maisha ni safari ndefu! Hawa ndiyo wanawake wa nguvu.

Huu siyo ushujaa. Ni kielelezo cha umasikini wa fikra kwa viongozi wetu na jinsi ambavyo wananchi tumeamua kuwa victims kwa kuamini kwamba hatma ya maisha yetu imeshikiliwa na wengine.

Wananchi tuna wajibu na nafasi kubwa kubadilisha mwelekeo wa taifa letu na maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…