Hawa omba omba wa Dar ni wavivu sana!

Hawa omba omba wa Dar ni wavivu sana!

Memes ain't fame lamme, kama huna uwezo wakuwasaidia kaa kimya sio lazima kutoa ni moyo, lakini sio kuwakejeli namna hii hawajapenda kuwa pale katika ilehali Hakuna mtu anayependa kuomba lakini maisha ndio yametengeneza hiyo Hali.
 
Sasa hivi wanaona uvivu hata kusema naomba (kwa wale wanaoweza kuongea vizuri).

Wameamua kurekodi sauti wanaweka spika halafu wanakaa pembeni kusikilizia, daah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] technologia imekuwa usije rudi kesho ukakuta roboti ndio liko hapo linaomba kwa niaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom