Hahahaha, wamejiongeza km wale wauza mitumba ?hahahahhaaa jamaa wamekuwa wengi halafu wasanii wasanii sana
Wanaenda na wakati
Zama za technology hizi mkuu waache
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahahahahata kama hawajiwezi sio ndo washindwe kuendana na mabadliko ya teknolojia
Hahahaha, wamejiongeza km wale wauza mitumba ?
MTC | 101| [emoji769]
Hii sio poa kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]jamani waoneeni huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] technologia imekuwa usije rudi kesho ukakuta roboti ndio liko hapo linaomba kwa niabaSasa hivi wanaona uvivu hata kusema naomba (kwa wale wanaoweza kuongea vizuri).
Wameamua kurekodi sauti wanaweka spika halafu wanakaa pembeni kusikilizia, daah!