Hawa PATAPATA ni kina nani? Mbona imekuwa kero sana kwenye simu yangu?

Hawa PATAPATA ni kina nani? Mbona imekuwa kero sana kwenye simu yangu?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Niseme ukweli ninakerwa sana na message za watu wanaojiita patapata. Unafuta inaingia nyingine. Nimejaribu kutafuta namna ya kuwazuia lakini imeshindikana.

Naomba mnipe ushauri nifanye nini au kama TCRA wanaweza kusaidia hili naomba mnisaidie namba yao ya huduma kwa mteja.

Kusema kweli biashara nyingine ni za kihuni na utapeli na bado zinaendelea.

Kwa nini hivi lakini?
 
Nyuma yao yupo nape na wahuni wengine wa msoga
Asee!
Wananchi tuna kazi ngumu sana maana matapeli wengi kama Kalynda huenda wanafadhiliwa na watu wenye dhamana serikalini.
Hii pata pata imekuwa kero sana kwangu
 
Bado waja kupatapata ndio maana wanakusumbua
 
Asee!
Wananchi tuna kazi ngumu sana maana matapeli wengi kama Kalynda huenda wanafadhiliwa na watu wenye dhamana serikalini.
Hii pata pata imekuwa kero sana kwangu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app

Mimi ilikuwa kwa siku wanatuma hadi meseji 4, niliandika uzi humu. Ikabidi niende offside za tigo kuonba msaada. Kutokana na winging wa meseji za kubeti hadi mtoa huduma alinihurumia.

Nashukuru sasa hivi nina amani
 
Back
Top Bottom