Haya fanya utuletee mrejesho ukirudi kutoka huko watakako kupeleka na uje uyuambie wamekufafanini maana kila anepellekwa huko wakirudi hua hawasema na wanakuwa wapole sana! Kwa mfano hawa akina naniliu tangu waachiliwe hawajasema huko wamefangiwa nini !!