Hawa Simba SC wanonekana kuwa serious kwa namna moja au nyingine

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Wamatopeni / Mikia/ Paka / Nyau Fc nimewatazama naona kama wapo serious kidogo. Nimepitia haya mambo walifanya hivi karibuni ukiyachambua kwa kina unaweza kuona kama wanania kweli kweli.

Ila pia kunaweza kuwa kuna mambo yanaendelea chini ya carpet ambayo yanafichwa sasa wanatumia njia hii kupoteza wengi kwa kuonekana wapo serious kumbe ndani kumekwisha haribika.

Yetu macho kama mtaendelea na kasi hii basi tutaweza kuwaona mmejikwamua kidogo hata kwenye hayo mashindano ya kimataifa na kuachana na matumizi ya paka/nyau tena.

Nawasalimu Paka Fc wote salamu ziwafikie.

Nawasilisha

Cc: Kichwa Kichafu
 
Simba ni wana matatizo ya kimfumo lakini watazitatua na kufikia malengo. Ila majirani zetu kule ni usanii tu Mungu awasaidie wasifungwe, wakipigwa mechi mbili tu mfululizo tutaona mengi sana.
 
Nilitaka nikubane hapa na pale kwa maswali lakini jina lako likanifanya nielewe na niache kuuliza
 
Maajabu ya Simba ni kufanya mambo mazuri na makubwa kwenye soka.

Maajabu ya Uto ni kushona madera kama jezi za kuvaa mashabiki wao wakiume.
 
Manyani toaneni chawa kwanza wanaume tuna majukumu ya Kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…