Hawa sio watu weusi kutoka Afrika bali ni Aeto kutoka Philippines na kijenetiki wanafanana sana na makundi mengine ya Asia na kwenye kundi la Austronesian na wanafanana kwa mbali na mchanganyiko wa jenetiki za Madagascar
Philippines wana roho ngumu, kwenye kuchukua maamuzi hawafikiri mara mbili . Tho Philippines na Thailand ndo wanaongoza kwa kuuza viungo hususani figo kwa ela ya madafu, achilia mbali utelezi