Hawa sponsors wapo kweli!

Hawa sponsors wapo kweli!

Mr egm

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
153
Reaction score
6
Habari ya majukumu wanajamvi.

Me nilikuwa na wafadhili wangu toka p/school hadi A'level lakini ikafika mda mawasiliano yakakatika kabisa na mpaka sasa sijui wa hali gan. Mara nyingine nakosa escot maake walikuwa wakinisaidia.

Nishauri nifanyeje kuwapata au?

Naomba kuwasilisha!
 
Habar ya majukum wanajamvi!
Me nilikuwa na wafadhili wang toka p/school hadi A'level lakn ikafika mda mawasiliano yakakatika kabisa na mpaka sasa sijui wa hali gan;mara nyngne nakosa escot maake walikuw wakinisaidia!Nishaur nfanyeje kuwapata au ...?
Naomba kuwasilisha!


Ha ha ha ha haaaa

Akili nyingine bwana!!
 
Back
Top Bottom