sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hawa wafuatao wamekili mapema kabisa.. Simba S.C ni habari nyingine.
1. Haruna Niyonzima ~ Kiungo bora kabisa kuwahi kishuhudiwa nchini
Namnukuu.. "Kiukweli ligi ni ngumu, kila timu imejipanga kufanya vizuri, ila mpaka sasa Simba wanastahili pongezi, walipofikia ni pazuri, kitu muhimu ni kila klabu kuendelea kupambana na mwisho wa msimu tutajua bingwa ni nani."
2. Kinah Phiri ~ Kocha bora barani Africa.. Kwa sasa anafundisha.
Namnukuu... "Ndiyo, Simba wameuanza msimu huu vizuri sana na wana wachezaji wenye uwezo ukilinganisha na timu nyingine, nawatakia kila la heri watwae ubingwa."
3. Jamhuri Julio ~ Kocha mwenye heshima kubwa.
Namnukuu.. "Hii sasa ndiyo Simba. Imekamilika kila idara na kila mchezaji anafanya vizuri pindi anapopewa nafasi."
4. Tamimu Mawazo ~ Kocha Mkuu wa Ndanda.
Namnukuu... "Tumefungwa kwa sababu wenzetu [ Simba] wanaonekana kuwa bora kuliko sisi, lakini huo ni mchezo wa kwanza tumeshaona mapungufu yetu sasa tunakwenda kujipanga upya kwa ajili ya kufanya vizuri katika michezo inayokuja."
Matomaso hua hawakosekani.. Hebu tuwatazame nao.
1. Masau Bwire ~ Msema chochote wa Ruvu Shooting.
Namnukuu... "Tumepoteza kama nilivyosema kwamba haikuwa bahati yetu, lakini mpira umeuona vijana wamepambana, vijana wameoesha na hiyo ndiyo staili yetu tutakayokwenda nayo."
2. Plujim ~ Kocha Mkuu wa Yanga Yetu.
Namnukuu.. "Kama wanajipa matumaini hayo ya ubingwa, basi watakuwa wanajidanganya, tungojee ligi imalizike halafu uone hao Simba kama watakuwa mabingwa."
Mnyama mwenyewe huyu hapa [emoji116] [emoji116]