Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ule ukatili wa Hitler huenda ukaonekana Tanzania miaka 10 ijayo kuanzia sasa. Hawa vijana wa CCM wamefunzwa kukilinda chama .
Wameapa kulinda chama. Hawana mpango kabisa na ulinzi wa rasilimali za Taifa hili teule. Wanalinda chama kwa hali yoyote kwa mgongo wa kulinda amani Ni wakati wa kuomba mkono wa Mungu ufanye kazi katika taifa hili