Hawa vijana wa CCM wamefunzwa kukilinda chama. Hawana mpango kabisa na ulinzi wa rasilimali za Taifa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ule ukatili wa Hitler huenda ukaonekana Tanzania miaka 10 ijayo kuanzia sasa. Hawa vijana wa CCM wamefunzwa kukilinda chama .

Wameapa kulinda chama. Hawana mpango kabisa na ulinzi wa rasilimali za Taifa hili teule. Wanalinda chama kwa hali yoyote kwa mgongo wa kulinda amani Ni wakati wa kuomba mkono wa Mungu ufanye kazi katika taifa hili
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…