richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Ni mda hawa vijana wa Suma JKT yaliskika malalamiko mara wanapiga watu kwenye malindo yaani ni watu wavurugu vurugu sometime kama wana sress za maisha, wengine sehem nyingi wamekuwa wakipoteza malindo kama mwendokasi, pale ferry siwaoni tena sijui shida yao ni nini.
Lakini tukirudi kwenye mada huwa najiuliza sana hawa walikwama wapi hadi kutopata ajira za moja kwa moja bakabaka, maana juzi hapo nilitembelea kimbiji nikakuta vijana wadogo wale kama sio wamemaliza fm 4 juzi juzi basi ni six wachanga kabisa wanafanya mazoezi ndani ya bakabaka washakula ajira ila suma naona wanapigwa na jua tu.