Hawa vijana wamekatwa wakifanya nini?Gay?

MrFroasty

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2009
Posts
1,195
Reaction score
595


Daraleo:
Vijana wawili wakiwa mikononi mwa polisi mara baada ya kukamatwa katika eneo la makutano ya barabara za Samora na Mkwepu wakipelekwa kituo cha polisi Makao Makuu,Dar es Salaam, jana asubuhi.Haikufahamika chanzo cha wahusika kukamatwa.(Picha na Heri Shaaban)
 

Nafikiri umesha sema kwenye post yako kuwa haikufahamika chanzo cha kukamatwa kwao. Hivyo basi, kuwaita au kuuliza kuwa ni gay, nafikri si sahihi. That is my opinion. Anyway, thanks for the picture.
 
Lakini itakuwaje vijana wawili wakamatwe? 😀
 
Mimi nadhani walimpora huyo mama walieongozana nae; aliwagundua walipokuwa na akaita polisi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…