Hawa vipi wamerogwa Au !!?

Kwangu mimi sijawahi kumwona mshindani wa Ronaldinho Gaucho. Hata malaika mbinguni wameburudishwa sana na soka lake.
Jamaa alikuwa ni mtu hatari sana " naukubali uwezo wake .. ila kwa upande wangu mimi messi ndiye mtu Anaye ni duwaza katika maisha yangu ya burudani ya mpira wa miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamechemka,ata kwa uwezo wa enzi za Jorginho,Cafu bado Neymar atasubir sana ..kuna kifaa kilikuwa Deportivo la Coluna Mauro Silva Galvao bado Neymar atasubir sana..
 
Yaani wameni shangaza. Hawa jamaa sijui wamerogwa " Au wana dhani kwamba wadau wa soccer hatujielewi..!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa vyombo vya habari mkuu cha msingi hawamtukani mtu kama unakumbukumbu nzuri kuna mchezaji wa kibongo ameshawahi kufananishwa na king Messi
Neymar ni top class player lakini hastahili kuwa mchezaji bora wa muda wote wa Brazil si kwa Takwimu wala udambwi udambwi
 
Mkuu hawa jamaa sijui wamekula nini !? Hata kama ndio uhuru wa vyombo vya habari lakini uhuru huu unawafanya waonekane mataahira sasa " maana wanautumia huo uhuru vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamechemka,ata kwa uwezo wa enzi za Jorginho,Cafu bado Neymar atasubir sana ..kuna kifaa kilikuwa Deportivo la Coluna Mauro Silva Galvao bado Neymar atasubir sana..
Mkuu hii takwimu yao hata TWAWEZA hawawezi kuthubutu kuichapisha aise ... hata shigongo na magazeti yake ya udaku hawezi thubutu kufikia kiwango hicho cha ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…