Hawa Waarabu waliomwaga mbegu maeneo haya Week hii naenda kwao kulipiza

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Wadau.sijui ni mimi tu au na nyie mme observe. Dada zetu wa Kibongo ni wakarimu toka miaka ya nyuma sana.hata kwa wageni wakija Bongo huwa wana enjoy sana.

Ukipita Ilala,Temeke,Magomeni,Mwananyamala,Kinondoni etc utakuta vitoto,vijana na wazee wenye mbegu za kiarabu. Baba zao wengi hawapo nao nchini.

Ukienda Zanzibar,Tanga, Tabora nako machotara wakiarabu wapo wengi sana.hii inaonesha watanzania na waarabu hatubaguani kabisa.

Week hii nina safari ya kwenda nchi kadhaa za kiarabu. Nami naenda kuacha mbegu huko.na ule uwekaji chata "Gudume Kapita Hapa" kama kawaida sitasahau kuzungusha signature yangu.

Styles zote ambazo wana JF huwa mnatufundisha sisi wengine ndo wakati wake wa kwenda zitumia huko Ughaibuni. Ni wakati nasi kuanza kuwekeza nje. Nadhani Zero IQ naye atakuja kupata fursa adhimu kama hii.

Rais anasema nchi yetu itakuwa donor country.nami naona fursa kama hizi za kuwekeza kwa mabint wa kiarabu.

Tuombeane kheri sisi sote ni kitu kimoja.nikifanikiwa mimi nanyi watanzania wenzangu mtapata sifa si peke yngu tu.naenda wakilisha Taifa.

Asanteni sana .
 
Arabuni ya wapi... Usije ukatuletea corona huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada zetu wananjaa. Wanahisi kila mweupe anapesa wakati wao weupe wanajua kila mweusi ana njaa. Kufanikiwa kwako ni kugumu sana maana uwiano ni 1/10. We ukifanikiwa mmoja kwao wa kule anafanikisha kumi kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu niko Nyuma yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna zinaa ya ovyo huko, utanyongwa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ammin kila la kheri upeperushe bendeea vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usisahau ile style ya kuvunja miguu
 
Utachinjwa au

Upigwe mawe hadi ufe au


Unyongwe


Unaenda zini arabuni mkuu kuwa makini labda Dubai kidogo pako safe

Sent using Jamii Forums mobile app


Nimalize kusema I'm proud of you Gudume usituangushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…