Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Kwani tuna wabunge mlee!!!Yaani hii ndio ingekuwa ni Tanzania pale Dodoma saa hii viti vilikuwa vinaumia kwa makofi maana ni swala ambalo wangesema tumechelewa sana π Tanzania
Visiwa vya ukerewe ziba kome maisome havijawahi tembelewa na rais kwa kukosa usafiri, hii boat ingefaa sana,Yaani hii ndio ingekuwa ni Tanzania pale Dodoma saa hii viti vilikuwa vinaumia kwa makofi maana ni swala ambalo wangesema tumechelewa sana π Tanzania
Ila Tanzania muda mwingine unawaza kwanini haya mavituko yanafanyika kwenye mamlaka zetu nyeti kiasi kwamba hawaoni aibu hata chembe