Hawa wabunge vp nao ni pombe au?

Hawa wabunge vp nao ni pombe au?

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
Nimeona baadhi ya wabunge na kuwaskia wakisema mheshimiwa rais then samahani mheshimiwa supika.
Hivi hawa jamaa wanawakilisha ujumbe wao wapi?au kero za wananchi wao wapi?
Kwa supika ama rahisi?
Ina maana hawajui hata mada yao waipeleke wapi?
Au ni makusudi tu.
Rais na supika ni vitu mbili tofauti.
Au hawa jamaa wabunge wanakua bado na hang over za chako ni changu.
Siwaelewi
 
Hangaya aka bi mkora aka ladygaga haya majina nikivuta picha huwa najikuta nacheka tu.

Nje ya mada.
 
Back
Top Bottom