Nimeona baadhi ya wabunge na kuwaskia wakisema mheshimiwa rais then samahani mheshimiwa supika.
Hivi hawa jamaa wanawakilisha ujumbe wao wapi?au kero za wananchi wao wapi?
Kwa supika ama rahisi?
Ina maana hawajui hata mada yao waipeleke wapi?
Au ni makusudi tu.
Rais na supika ni vitu mbili tofauti.
Au hawa jamaa wabunge wanakua bado na hang over za chako ni changu.
Siwaelewi