CSL wanakazi sana kuifanya ligi yao ipendwe na watu kumbuka uingereza wamefanya research muda mrefu sana mpaka leo hii tunaona matunda yake. Kila kitu kilianza kwa research sio kununua wachezaji kwa bei mbaya ndo ligi ivutie no! ukiona hata viwanja vya mpira havijai na hapo ndo utajua kwamba hii ligi bado sana na kama ligi yako unataka ipendwe anza kuipenda mwenyewe kabla ya wengine kuipenda. Shabiki unamkuta kavaa t-shirt ya manchester united na ameacha kwenda viwanjani kushuhudia mechi yeye yuko busy anacheck game la man u kwenye tv. Ndo ujue kuwa england wamefanya research kwanza na kufanikiwa kutoboa mpaka china kwenyewe.