Wakiruhusiwa inatokea miujiza mipya ya kufufuka waliokufa.habari ya mwaka mpya 2025.......................................
naomba uliza je hawa wachungaji / MANABII / pastor wa makanisa ya ki-leo haya ya kinabiii , ki mitume , haya ambayo muumini ananunua maji ya upako ambayo yana chapa ya maji ya kilimanjaro bonite , au wanaouza mafuta ya upako ,
JE NA WENYEWE WANA WANA RUHUSIWA KUZIKA WAUMINI WAO WAKIFARIKI ?
Neno "kuzika" umemaanisha nini?habari ya mwaka mpya 2025.......................................
naomba uliza je hawa wachungaji / MANABII / pastor wa makanisa ya ki-leo haya ya kinabiii , ki mitume , haya ambayo muumini ananunua maji ya upako ambayo yana chapa ya maji ya kilimanjaro bonite , au wanaouza mafuta ya upako ,
JE NA WENYEWE WANA WANA RUHUSIWA KUZIKA WAUMINI WAO WAKIFARIKI ?
Binafsi sijawahi kupata taarifa ya akina Mzee wa Upako, Suguye na Mwamposa wakifanya ibada za mazishi na hata za ndoa. Nadhani wao wamejibainisha kuwa kama tuition centres, shule kasome kwinginehabari ya mwaka mpya 2025.......................................
naomba uliza je hawa wachungaji / MANABII / pastor wa makanisa ya ki-leo haya ya kinabiii , ki mitume , haya ambayo muumini ananunua maji ya upako ambayo yana chapa ya maji ya kilimanjaro bonite , au wanaouza mafuta ya upako ,
JE NA WENYEWE WANA WANA RUHUSIWA KUZIKA WAUMINI WAO WAKIFARIKI ?
Nalipa mwenyewe. Mambo ya kulipiana hayo hayafai.Napata gongo hapa.2 is the correct answer .............nunua castle lite mbili hapo nakuja lipia
Niliona Mwamposa aliongoza Ibada ya kumuaga yule Mama muigizaji (Grace Mapunda) pale uwanja wa viongozi mwaka jana.Binafsi sijawahi kupata taarifa ya akina Mzee wa Upako, Suguye na Mwamposa wakifanya ibada za mazishi na hata za ndoa. Nadhani wao wamejibainisha kuwa kama tuition centres, shule kasome kwingine
Wakifa huwa wanatoroka, nilishuhudia yule anajiita nabii Joshua wa Morogoro, alifiwa na waumini kanisani kwake akapanda gari akachomoaHabari ya mwaka mpya 2025,
Naomba uliza je hawa wachungaji / MANABII / pastor wa makanisa ya ki-leo haya ya kinabiii , ki mitume , haya ambayo muumini ananunua maji ya upako ambayo yana chapa ya maji ya kilimanjaro bonite , au wanaouza mafuta ya upako.
Je, na wenyewe wana wana ruhusiwa kuzika waumini wao wakifariki?
Ibada ya mazishiNeno "kuzika" umemaanisha nini?
1-Kumuweka marehemu kwenye shimo(kaburi) na kumfukia?
2-Kumfanyia ibada ya mazishi?
shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii