Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Pamoja na kuonekana wana thamani, sijajua biashara yake ikoje. Au ndio wanakula wenye hela? Binafsi labda uniletee nyama yake bila kujua ndio hili dude
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo ukiwaambia hili dubwana linaweza kumnenepesha Juma, Kwa kauli hii tu utafanya awe milioni 40 sasa kwa kilo😂😂Hawa ni wazuri kwa kurudisha na kuboresha nyumba inayotetereka, kama unavyoona unene na ukubwa ndivyo Juma atakavyo rutubishwa.
Kilwa bado wapo wa kumwaga hata bagamoyo kuanzia usawa wa minazini hadi sadani,uwa wanawazamia kuwakakamata kwenye mapango yaoZamani walikuwepo kwa sasa dar hakuna,wapo wale jongoo wadogodogo tu
Jongoo wenye pesa ni barango,spinyo, jongoo maji
Ila hao jongoo wa mln 20 mhh
Nimeongelea hii kutokana na uzoefu wa wa kuwavua huko mafia kipindi cha nyuma na upatikanaji wake ule mgumu
Ova