Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Wabongo ukiwaambia hili dubwana linaweza kumnenepesha Juma, Kwa kauli hii tu utafanya awe milioni 40 sasa kwa kilo😂😂Hawa ni wazuri kwa kurudisha na kuboresha nyumba inayotetereka, kama unavyoona unene na ukubwa ndivyo Juma atakavyo rutubishwa.
Kilwa bado wapo wa kumwaga hata bagamoyo kuanzia usawa wa minazini hadi sadani,uwa wanawazamia kuwakakamata kwenye mapango yaoZamani walikuwepo kwa sasa dar hakuna,wapo wale jongoo wadogodogo tu
Jongoo wenye pesa ni barango,spinyo, jongoo maji
Ila hao jongoo wa mln 20 mhh
Nimeongelea hii kutokana na uzoefu wa wa kuwavua huko mafia kipindi cha nyuma na upatikanaji wake ule mgumu
Ova