muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Najiuliza hawa wafuasi wakereketwa wa Mh Mbowe, mwenyekiti wa kudumu CHADEMA Taifa,
Hawa watu waliojitokeza kwa wingi na bodaboda si chini ya 50 ile aiku mbowe anaitisha maamdamano mbona walimtelekeza pekeyake?
Nakumbuka hiyo siku alikuepo mbowe na binti yake tu,