Hao ni wakereketwa wa Boni mandevuNajiuliza hawa wafuasi wakereketwa wa Mh Mbowe, mwenyekiti wa kudumu CHADEMA Taifa,
Hawa watu waliojitokeza kwa wingi na bodaboda si chini ya 50 ile aiku mbowe anaitisha maamdamano mbona walimtelekeza pekeyake?
Nakumbuka hiyo siku alikuepo mbowe na binti yake tu,
Risasi baba , risasi nani azivumilei? wala usiwalaumu....wewe ulikwenda?Najiuliza hawa wafuasi wakereketwa wa Mh Mbowe, mwenyekiti wa kudumu CHADEMA Taifa,
Hawa watu waliojitokeza kwa wingi na bodaboda si chini ya 50 ile aiku mbowe anaitisha maamdamano mbona walimtelekeza pekeyake?
Nakumbuka hiyo siku alikuepo mbowe na binti yake tu,
Hakuna haja ya Hofu kama tunataka kuikomboa Nchi hii ni lazima Chama kinyooke kama Rula.Kuna watu wanahofu Lissu akishika kiti watakatiwa mirija
Mbowe anahofu kabisa na team yake, onaKuna watu wanahofu Lissu akishika kiti watakatiwa mirija
Mwanasiasa anayesubiri watu wamuombe agombee uongozi kashindwa hata kujiongoza yeye mwenyewe, hawezi kuongoza watu wengine.Siasa bhana 😂
Ety wanachama wameenda kumshinikiza achukue fomu wakakuta kuna viti na maturubai 😂