Hakuna team yenye wachezaji wazuri wote 28 ,wachezaji wazuri hawakubali kukaa benchi ataondoka tu,ndicho zilivyo team zote angalia hata Ahly,real , Barcelona nkMwamnyeto
huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe
Ikangalombo
Wakati mwingine sio lazima timu iwe nawachezaji wote 12 wakigeni , niheri kutosajili kabisa ikiwa hakuna mchezaji wa maana sokoni ..hili jamaa hakuna kitu ,kwanza livivu mnoo ,linasubiri lipate mpira likimbie hovyo ..Lifukuzwe Mbadala : kipre jr kwa mkopo (Mc Alger)
Musonda
Huyu katika baadhi ya matukio ameisaidia timu , ila hana muendelezo wa kiwango kizuri .mazuri aliyoyafanya yanatosha..Afukuzwe
Mbadala: Jonathan sowah (singida bs)
Kibabage
Huyu ni beki wa pembeni wa hovyo kuwahi kucheza Yanga , sio mzuri kupiga cross za mwisho mbali namaspidi yake yasiokuwa na faida ,lakini ni uchochoro sana kwenye kuzuia .aina hii ya mchezaji hastahili kuvaa jezi ya Yanga sc.
Afukuzwe
Mbadala :Msindo pascal (Azam)
AZIZ KI
Hapa najua wana Yanga sc wengi mtanipinga , ila yapasa kusema alichotufanyia Aziz ki kinatosha na Niwakati sahihi wakuachana nae, huyu ameshakuwa na mambo mengi nje ya uwanja na ameshafikia peak yake ya ubora , kinachofuata nikuanza kushuka kwa graph yake kiuchezaji , Yanga imuuze huyu hivi sasa ikiwa bado mapema ili kupunguza mzigo wa mshahara wake lakini pia kuingia sokoni kupata wachezaji wenye njaa zaidi..AFUKUZWE
mbadala : Feisal salam (Azam)
DUKE Abuya
Ni mchezaji mwenye mapafu ya mbwa ,lakini mwenye zao la mwisho baya Mno uwanjani , passing ability yake ni mbovu ,hajui wakati sahihi wakupiga pasi au kushoot .AFUKUZWE
mbadala : Arthur Bada (singida bs)
Watanzania wengi ni wajuaji wa Kila kitu,,ikangalombo ni mchezaji mzuri tu tatizo lenu vijana mliojulia Mpira ukubwani Wala amjui vitu vya kiufundi vinavyoweza kumkwamisha mchezaji ilimradi unamuona uwanjani anacheza unaanza kumuhukumu,,Mwamnyeto
huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe
Ikangalombo
Wakati mwingine sio lazima timu iwe nawachezaji wote 12 wakigeni , niheri kutosajili kabisa ikiwa hakuna mchezaji wa maana sokoni ..hili jamaa hakuna kitu ,kwanza livivu mnoo ,linasubiri lipate mpira likimbie hovyo ..Lifukuzwe Mbadala : kipre jr kwa mkopo (Mc Alger)
Musonda
Huyu katika baadhi ya matukio ameisaidia timu , ila hana muendelezo wa kiwango kizuri .mazuri aliyoyafanya yanatosha..Afukuzwe
Mbadala: Jonathan sowah (singida bs)
Kibabage
Huyu ni beki wa pembeni wa hovyo kuwahi kucheza Yanga , sio mzuri kupiga cross za mwisho mbali namaspidi yake yasiokuwa na faida ,lakini ni uchochoro sana kwenye kuzuia .aina hii ya mchezaji hastahili kuvaa jezi ya Yanga sc.
Afukuzwe
Mbadala :Msindo pascal (Azam)
AZIZ KI
Hapa najua wana Yanga sc wengi mtanipinga , ila yapasa kusema alichotufanyia Aziz ki kinatosha na Niwakati sahihi wakuachana nae, huyu ameshakuwa na mambo mengi nje ya uwanja na ameshafikia peak yake ya ubora , kinachofuata nikuanza kushuka kwa graph yake kiuchezaji , Yanga imuuze huyu hivi sasa ikiwa bado mapema ili kupunguza mzigo wa mshahara wake lakini pia kuingia sokoni kupata wachezaji wenye njaa zaidi..AFUKUZWE
mbadala : Feisal salam (Azam)
DUKE Abuya
Ni mchezaji mwenye mapafu ya mbwa ,lakini mwenye zao la mwisho baya Mno uwanjani , passing ability yake ni mbovu ,hajui wakati sahihi wakupiga pasi au kushoot .AFUKUZWE
mbadala : Arthur Bada (singida bs)
Boka ana shida Gani?Boka nae atuache
Siyo kufukuza Bali kuondolewa wachezaji viwango hushuka na kupanda ukifukuza hawezi kurudisha tenaMwamnyeto

Huyu hana akili za mpira.Boka ana shida Gani?
HahahaaIla hii timu ina watu wana mbio haswa. Wakipata mpira ni mbio zisizo na kikomo. Shwaaaa.
Bakari Nondo ni beki Bora ni vile upepo hauko upande wake hapati mechi nyingi za kucheza , kiwango chake kiko vizuri, hata Musonda bado ni mzuri, Yanga ni timu Bora si sahihi kusema mchezaji Fulani ameshuka kiwango wakati hapewi nafasi ya kucheza, kocha anapaswa kubadilisha wachezaji kila mara ili wawe fit ili isitokee kama wakati wa Gamondi alipanga kikosi kimoja msimu mzima hadi wakachoka na timu kupungua ubora na intensity.Mwamnyeto hapana, ni Captain wa heshima sana katika timu yetu amechukua mataji mengi mno na tumepata mafanikio yéyé akiwa Captain,
Hao wengine ni Sawa tuu, Kama huyo Kibabage aisee mapema sana atoke
Daaah kwa maono hayaa Yanga haifiki popote, hao unawaona niwazuri WAKICHEZA na namungo , Mimi naongelea continental football mzee, hawana msaada Yanga ikikutana Orlando piratesBakari Nondo ni beki Bora ni vile upepo hauko upande wake hapati mechi nyingi za kucheza , kiwango chake kiko vizuri, hata Musonda bado ni mzuri, Yanga ni timu Bora si sahihi kusema mchezaji Fulani ameshuka kiwango wakati hapewi nafasi ya kucheza, kocha anapaswa kubadilisha wachezaji kila mara ili wawe fit ili isitokee kama wakati wa Gamondi alipanga kikosi kimoja msimu mzima hadi wakachoka na timu kupungua ubora na intensity.
Duke Abuya ni bonge la kiungo mkabaji anachokosa ni akili ya kupiga pasi za kwenda mbele, akipata mpira daima anacheki mchezaji alie pembeni yake tu na haangalii mbele kupeleka mpira, otherwise bado yupo sana Yanga tuache majungu
Huyo Aziz ki utamsifia akicheza na pamba sc TU ,ila mashindano ya kimataifa hana msaada Tena..mpira nimchezo wa nyakati mzee baba , kunakushuka kiwangoKwa Aziz k unaumwa mavi sio bure,,,
Viwango vya wachezaji wa ndani ndio hivyo hivyo vya wakina mwamnyeto kwani ni beki Gani wa ndani ambae anaweza kusajiliwa yanga anaemzidi mwamnyeto uwezo na uzoefu? Na ukisema wachezaji wa nje wengi wa madaraja ya kwanza utakutana na ushindani mkali kutoka kwa timu zenye fedha utoweza kumsajiliDaaah kwa maono hayaa Yanga haifiki popote, hao unawaona niwazuri WAKICHEZA na namungo , Mimi naongelea continental football mzee, hawana msaada Yanga ikikutana Orlando pirates
Benjamini Tamim alikuja singida bs, na anazima national team Nigeria Panga pangua ,mpaka alipopata Dili ya Coventry uk,wachezaji wapo wengi sokoni ,shida inakuja kwenye kusajili , Yanga wanasign kwa mazoea na wanataka kukaa nawachezaji kwa ajili ya historia zao ili kulipa fadhila which is wrong kwenye football, kama barca wasingemtema Dinho ufalme wa messi ungechelewa..mpira is all about current form , ukishuka kiwango timu kubwa Haina muda wa kukusubiri , Kuna dogoo yuko JKt Tanzania anazima mara 200 zaidi ya mwamnyeto sasahivi..Mfano sajili kama za kina baleke , sijui okrah , zilikuwa na maana Gani?Viwango vya wachezaji wa ndani ndio hivyo hivyo vya wakina mwamnyeto kwani ni beki Gani wa ndani ambae anaweza kusajiliwa yanga anaemzidi mwamnyeto uwezo na uzoefu? Na ukisema wachezaji wa nje wengi wa madaraja ya kwanza utakutana na ushindani mkali kutoka kwa timu zenye fedha utoweza kumsajili