nini maana ya mtumishi??Watumishi tena? Humu kwa wapenda ubuyu aka shilawadu hii tumegusia tu, aaah
Kuna yule mbaba ana sauti ya kwanza ya kike nilikuwa napenda aisee!Barabara ya 13
Naupenda Sana wimbo wa Samsoni , palikiwa na mtu pamoja na katikati viumbe vyote vilivyoubwa binadamu kaumbika kuliko vyote.
Taarabu gospel ipo niliisikia nikachoka mwili na maini!!!Mkuu hapo ushamba wako wa kiroho jamaa yangu. Hujawahi sikia boringo/mziki wa dance, rap na rage?? Labda taarabugospo mimi ndiyo sijasikia.
Hahaaa!!! Eti wanatutania!!Hapa umenikumbusha mama, halfu enzi hizo tuna kaseti bhana, anasikiliza huku ana pika hahaha!!
Lakini hawa waimbaj wa siku hizi wana tutania aki ya Mungu
Kwaya chache sana zimebaki wanaoimba gospel ya kweli, wengine wafanya biashara tu.Kuna AIC shinyanga na KKKT kijitonyama wanaimba rohoni pia.
Ni kweli.Kwaya chache sana zimebaki wanaoimba gospel ya kweli, wengine wafanya biashara tu.
Hapo kwenye malezi umenigusa,my sister nilishangaa home kwake kuna aina fulani tu ya gospel zinazopigwa, ukijumlisha na hizo gospel za zamani kama Tumaini,Mama Jusi,Buliankulu(sijui ndio inavyoandikwa) and of the sort, anasema 'hizi bongo flavour zenu sizitaki humu ndani kwangu'. Now i get it.Nakuelewa sanaa. Sijui kama vijana / watoto wa leo wanapata malezi kiasi gani ya kuwaivisha kiroho kiasi hiki na kuwaacha na kiu ya kutamani injili ya nyimbo pindi waachanapo na wazazi wao kama tulivyokuwa sisi. Inasikitisha sana. Nathubutu kusema tulilelewa. Mungu awabariki sana wazazi wetu. Dunia ya leo kama hukuivishwa lazima upotee tu. Hakuna namna.
Yaani gospel imevamiwa acha kabisa, kuna hiyo moja niliiona mabinti wamevaa skin jeans alafu wanakata viuno hatari, nilipigwa na butwaa!!! RoseNdio maana napenda sana kwaya kuliko waimbaji binafs
Waimbaji binafs nawakubali hawa
Ambwene Mwasongwe
Joshua Mlerwa
Shusho
Wengine wapiga hela tu
Nilikariri nyimbo za Munisi zote khaaah!! Nimekumbuka mbali sana, na karedio kaset ketu.Maleboo
Hahaha...ni kweli Ulyankulu sauti ya kwanza inaimbwa na mwanaume, ya pili ni wanawake woteKuna yule mbaba ana sauti ya kwanza ya kike nilikuwa napenda asisee!
Basi nakumbuka dogo alikuwa haelewi pale wanapoimba 'ajitwike msalaba wake,anifuate' akawa anaimba anjige njige msalaba wake.....
Kumbe ni wakimbizi, kwakweli walibarikiwa, nyimbo zao hazichuji,kila siku ukizisikiliza hazichoshi.Hahaha...ni kweli Ulyankulu sauti ya kwanza inaimbwa na mwanaume, ya pili ni wanawake wote
Nilishangaa sana kusikia wale waimbaji ni wakimbizi...ila Mungu aliwabariki sauti hadi wakaipaisha Tanzania.