britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
walevi katika porojo 🐒Vodka na warusi sasa leo waitaliano wameleta hizi
Najiuliza Huyu mgana ambaye wamemwandaa ionekane wanafuatilia anayemfuatilia makamu wa Chama kikuu cha Upinzani kwanini iwe hivi?
Tuko hatua 5 mbele yenu
View attachment 3645608
wanapika sikiNini kinaendelea hasa huko jikoni?
Hamna Cha alert mkuu hii technically ni kama tu Ile " unanijua Mimi nani ? Kama ingekuwa code to alert someone haikutakiwa kuwa hapa ilitakiwa kumfikia mlengwa ila inanifikia mpaka Mimi muuza soksi wa hapa karumeHuwa najiuliza code kama hizi ni alart kwa mtenda au mlengwa?